Sunday, 26 May 2013




TANZANIA IDEAS CENTRE TANZANIA  (TIC)

TEACHERS’ JUNCTION
        Teachers’ Junction Organization inyojihusisha na ajira za walimu nchini.
Tunashukuru kwa mchango wetu ambao mmeunesha tangu kuazishwa kwake hadi hapa ilipofikia.
Kwa sasa tunawaarifu vijana wote Tanzania na nchi jirani hususani wana jamii forum kwamba tunaanzisha TANZANIA IDEAS CENTRE (TIC).
Ambapo vijana kutoka sehemu tofauti Tanzania na nchi jirani tutakutana na kuunganisha mawazo ya kibiashara na namna ya kuziazisha yenye lengo la kuunganisha vitu watatu muhimu kwenye biashara:-
1)      WAZO LA BIASHARA
2)      UWEZESHAJI
3)      MTAJI

TANZANIA IDEAS CENTRE
Tunahiji  Vjiana 30 kuunda uongozi wa TIC na kujadili malengo yaliyopo na walionayo.
TIC inarajia kuanza kufanya kazi rasmi mwanzoni mwa mwezi wa Saba mwaka huu.2013.
Kwa walio tayari kujiunga na TIC sifa :
·        Awe kijana wa kiafrika
·        Elimu kuaznia kidato cha nne na kuendelea
·        Umri kuanzia miaka 25 hadi 40.
·        Mwenye mawazo pevu na busara

 Mawasiliano:
TIC organizer
Mr. Njama
Phone:  0783-810857
    Unaweza ku-like page yetu na kucha maoni yako.

Thibisha ushiriki wako kwa kutuma email na Cv zako kisha utajaza form za kujiunga.
Wote watakao thibisha kushiriki watashiriki kuchagua uongozi wa TIC.
Taarifa zote zitapatikana hapa hapa jamii forum.

                 HAKUNA MALI[PO KWENYE KUJIUNGA NA TIC

              VIJANA TUKIUNGANA TUNAWEZA KUTOKOMEZA TATIZO LA AJIRA
                           TANZANIA NA AFRIKA KWA UJUMLA
                                                        “With TIC we can Change”



1 comment: